al-Fawzaan kuhusu waislamu kupiga kura katika nchi za makafiri

Swali: Je, inajuzu kwa Waislamu katika nchi za makafiri kushiriki katika kupiga kura wakiwa na dhana kubwa ya kwamba kufanya hivo kutaboresha hali yao?

Jibu: Mimi sionelei hivo. Siwajuzishii waislamu kuingia katika nidhamu na hukumu za makafiri. Sionelei jambo hili.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (48) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1431-5-26.mp3
  • Imechapishwa: 21/08/2020