al-Fawzaan kuhusu wachumba kuzungumza


Swali: Ni ipi hukumu ya kuzungumza na mchumba wangu kwa njia ya simu pamoja na mzazi wake kujua hilo pasina kuchelea mambo ya haramu?

Jibu: Ikiwa ni mazungumzo kwa lengo la kutaka kufahamiana na mnaulizana kwa mambo ambayo ni wenye haja nayo, hakuna neno midhali hakuna mambo yaliyokatazwa.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/blug--1430-7-20.mp3
  • Imechapishwa: 19/09/2020