al-Fawzaan kuhusu vijana wanaomsema vibaya Shaykh Swaalih al-Luhaydaan


Swali: Baadhi ya vijana wanamsema vibaya Shaykh Swaalih al-Luhaydaan na wanamtoa katika Manhaj ya Salaf. Ni ipi hukumu ya kitendo chao hichi na vipi tutatangamana nao?

Jibu: Halimdhuru kitu Shaykh Swaalih al-Luhaydaan. Bali linamzidisha utukufu.

Mtu mpungufu akija kwako na kunilaumu mimi

ni dalili tosha ya kwamba mimi ni mbora

Halimdhuru. Linawadhuru wao wenyewe.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Zaad-il-Ma´aad (68) http://www.alfawzan.af.org.sa/node/13864
  • Imechapishwa: 16/11/2014