al-Fawzaan kuhusu vigelegele


Swali: Ni ipi hukumu ya vigelegele ambavyo wanawake kufanya kwa mnasaba wa sikukuu?

Jibu: Haijuzu kwa mwanamke kunyanyua sauti mbele ya wanaume wa kando. Kuna fitina katika sauti yake. Haijalishi ni mamoja ikiwa ni vigelegele au kitu kingine. Isitoshe vigelegele ilikuwa, na mpaka hivi sasa bado, haijulikani kwa waislamu. Ni desturi mbaya ambayo inatakiwa kuepukwa. Inajulisha pia kutokuwa na haya.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Makaanat-ul-Mar'ah fiyl-Islaam, uk. 620
  • Imechapishwa: 20/09/2020