al-Fawzaan kuhusu ukafiri wa mwenye kupinga majina na sifa za Allaah

Swali: Mwenye kupinga majina na sifa za Allaah anakuwa kafiri kwa hilo?

Jibu: Ikiwa atafanya kwa kukusudia na anajua dalili na akakhalifu hilo kwa matamanio au kwa kasumba kung´ang´ania madhehebu ni kafiri. Lakini ikiwa kafahamu vibaya au anafuata kichwa mchunga huyu hakufurishwi. Lakini ni mpotofu mpaka abainishiwe.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: http://alfawzan.ws/node/2819 Tarehe: 1431-05-13/2010-04-26
  • Imechapishwa: 10/04/2022