al-Fawzaan Kuhusu Tofauti Kati Ya Suurah Za Makkah Na al-Madiynah


Swali: Ni ipi tofauti kati ya Suurah ya Makkah na ya al-Madiynah?

Jibu: Suurah ya Makkah ni ile ambayo imeteremka Makkah kabla ya Hijrah. Ama Suurah ya al-Madiynah ni ile ambayo imeteremka baada ya Hijrah. Hii ndio Suurah ya al-Madiynah. Iliyoteremka kabla ya Hijrah ndio Suurah ya Makkah. Iliyoteremka baada ya Hijrah ndio Suurah ya al-Madiynah.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Zaad-il-Ma´aad (49) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/mo--1432-5-13.mp3
  • Imechapishwa: 16/11/2014