al-Fawzaan kuhusu Tasliym moja katika swalah

Swali: Imamu wa msikiti wetu anatuswalisha na anasalimu kwa Tasliym moja kwa sauti ya juu kisha Tasliym ya pili anaitoa kwa siri. Je, kitendo chake ni sahihi?

Jibu: Hapana, si sahihi[1]. Tasliym zote mbili azilete kwa sauti.

[1] Tazama https://firqatunnajia.com/108-tasliym/

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Duruus-ul-Haram http://www.alfawzan.af.org.sa/node/15201
  • Imechapishwa: 28/06/2020