Swali: Ni ipi hukumu ya simu BlackBerry?

Jibu: Kwa kweli mimi siijui. Lakini kitu kilicho na madhara hakijuzu, sawa ikiwa ni simu au kitu kingine.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Zaad-il-Ma´aad (32) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/mo–1431-10-17.mp3
  • Imechapishwa: 15/11/2014