al-Fawzaan kuhusu sauti ya mwanamke


Swali: Mtu anaweza kusema kuwa sauti ya mwanamke ni ´Awrah?

Jibu: Ndio. Sauti ya mwanamke ni mtihani. Hakusemwi ya kwamba asiongei na wala asizungumze. Aongee na azungumze. Lakini hata hivyo asilainishe sauti na kuiremba. Inatakiwa iwe sauti ya kawaida.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (69) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/12-07-1438i.mp3