Swali: Ethiopia ilikuwa nchi ya Kiislamu kwa kusilimu kwa Najaashiy?
Jibu: Nchi ya Kiislamu ni ile ambayo inahukumu kwa Shari´ah. Kinachozingatiwa ni hukumu. Nchi ya Kiislamu ni ile ambayo inahukumu kwa Uislamu. Najaashiy alisilimu lakini hakuweza kuhukumu kwa Shari´ah katika nchi ya kinaswara.
- Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh Zaad-il-Ma´aad (41) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/mo--1432-01-27.mp3
- Imechapishwa: 15/11/2014