al-Fawzaan kuhusu mwanamke kujikohowesha ndani ya swalah


Swali: Je, inajuzu kwa mwanamke kujikohowesha kwa haja (ndani ya Swalah) au anaruhusiwa kupiga makofi tu?

Jibu: Inajuzu kwake kujikohowesha wakati wa haja. Kwa kuwa kujikohowesha sio sauti ilio na fitina. Sauti yake imekatazwa kwa kuwa ina fitina. Ama kuhusu kujikohowesha hakuna fitina ndani yake.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/mo--1430-4-23.mp3
  • Imechapishwa: 09/11/2014