al-Fawzaan kuhusu msimamo wa Imaam Ibn Baaz kuhusu kuapa kwa talaka

Swali: Inanukuliwa kutoka kwa Imaam Ibn Baaz (Rahimahu Allaah) ya kwamba haipiti Talaka kwa kuapa na wala haihesabiki…

Jibu: Ni sahihi. Anafutu kwa hili. Lakini hata hivyo, rai hii haina nguvu. Na Riwaayah tulionayo sahihi ni kuwa inapita. Kwa kuwa Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) alisema:

“Muamrishe amrejee (mke wake).”

Ni dalili ioneshayo kuwa inapita pamoja na mtu kuwa kupatamadhambi.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: http://www.alfawzan.af.org.sa/node/9999
  • Imechapishwa: 08/03/2018