Swali: Kuweka Mihraab ni Sunnah au wajibu?

Jibu: Mihraab ni alama ya Qiblah. Ina manufaa. Inaonesha ni wapi Qiblah kipo. Misikiti isiyokuwa na Mihraab ukiingia hujui ni wapi Qiblah kipo. Pale unapoona Mihraab ndio unajua Qiblah. Ina manufaa.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Duruus-ul-Haram http://www.alfawzan.af.org.sa/node/13398
  • Imechapishwa: 27/04/2018