Swali: Picha ikiwa katika chumba miongoni mwa vyumba vya nyumbani, je, Malaika hawaingii katika vyumba vingine visivyokuwa na picha?
Jibu: Kwa nini waingie kwenye vyumba vingine? Malaika hawaingii nyumba yote kikamilifu. Hii ndio dhahiri ya Hadiyth.
- Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: http://www.alfawzan.af.org.sa/node/13829
- Imechapishwa: 20/09/2020