Swali: Ni yapi maoni yako kuhusu kitabu cha Sayyid Qutwub “Fiy Dhwilaal-il-Qur-aan”?

Jibu: Nyinyi mnajua makosa aliyokosolewa. Tuna Tafsiyr zenye kuaminika na zenye kunufaisha ambazo zinatutosheleza na himdi zote ni za Allaah.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (25) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1428-3-28.mp3
  • Imechapishwa: 19/08/2020