Swali: Ni wapi mtu anaweka mikono baada ya kuinuka kutoka kwenye Rukuu?
Jibu: Kama ilivokuwa kabla ya Rukuu. Kama ilivokuwa kabla ya Rukuu, ataiweka juu ya kifua chake.
- Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh Zaad-il-Ma´aad (07) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/mo--1430-10-08.mp3
- Imechapishwa: 10/11/2014