al-Fawzaan kuhusu kwenda mpirani kuangalia mchezo wa mpira


Swali: Je, inajuzu kwenda kuangalia mchezo wa mpira mahala sehemu ya kuchezea pamoja na kuhifadhi swalah kwa wakati wake?

Jibu: Unafaidika nini kwenda kuangalia mpira? Unafaidika nini kuangalia? Je, unafaidika dini au dunia? Ni upuuzi na kughafilika na kupoteza wakati. Usiende kuangalia.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: http://www.alfawzan.af.org.sa/node/13668
  • Imechapishwa: 18/09/2020