Swali: Inajuzu kuweka viatu na kuzingatia kuwa ni Sutrah kwa mwenye kuswali?
Jibu: Ndio. Akiweka kiatu hiki kikapanda juu ya kingine na akaweka mbele yake, inakuwa ni Sutrah.
- Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh Zaad-il-Ma´aad (06) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/mo--1430-8-5.mp3
- Imechapishwa: 10/11/2014