al-Fawzaan kuhusu kuweka viatu kama Sutrah

Swali: Inajuzu kuweka viatu na kuzingatia kuwa ni Sutrah kwa mwenye kuswali?

Jibu: Ndio. Akiweka kiatu hiki kikapanda juu ya kingine na akaweka mbele yake, inakuwa ni Sutrah.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Zaad-il-Ma´aad (06) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/mo–1430-8-5.mp3
  • Imechapishwa: 10/11/2014