al-Fawzaan kuhusu kuongeza “… wa maghfiratuh” katika kuitika salamu

Swali: Je, ni sahihi katika salamu kuzidisha:

ومغفرته

“… na msamaha wake”?

Jibu: Hili halikuthibiti. Mwisho wake ni:

ورحمة الله

“… na rehema Zake.”

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Zaad-il-Ma´aad (33) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/mo–1431-10-24_0.mp3
  • Imechapishwa: 15/11/2014