al-Fawzaan Kuhusu Kuongeza “… wa maghfiratuh” Katika Kuitika Salaam


Swali: Je, ni sahihi katika Salaam kuzidisha “… wa maghfiratuh”?

Jibu: Hili halikuthibiti. Mwisho wake ni “… wa Rahmatullaah”.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Zaad-il-Ma´aad (33) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/mo--1431-10-24_0.mp3
  • Imechapishwa: 15/11/2014