al-Fawzaan kuhusu kumhijia tena mtu aliyekufa katika Hajj

Swali: Anayekufa katika Hajj ya faradhi baada ya kusimama ´Arafah anazingatiwa amekamilisha Hajj yake au inatakiwa kumfanyia Hajj?

Jibu: Huyu amekufa katika Hajj yake, asihijiwe. Ameenda katika Hajj mwenyewe lakini hakuikamilisha na amekufa ndani yake, ni mwenye kubaki katika Ihraam yake kama hali ya yule aliyeanguka kutoka kwenye mpando wake.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Zaad-il-Ma´aad (23) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/mo–1431-04-12.mp3
  • Imechapishwa: 14/11/2014