al-Fawzaan Kuhusu Kufunga Jumatatu Na Alkhamisi Kwa Nia Ya Masiku Matatu Meupe Pia


Swali: Ni ipi hukumu ya mwenye kufunga Jumatatu na Alkhamisi kwa nia ya siku tatu kila mwezi katika kila mwezi?

Jibu: Hapana, asijumuishe hili na hili. Afunge Jumatatu na Alkhamisi kila wiki na afunge siku tatu kila mwezi za kipekee.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Zaad-il-Ma´aad (17) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/mo--1431-03-14.mp3
  • Imechapishwa: 14/11/2014