al-Fawzaan kuhusu kuashiria kidole wakati Khatwiyb anapoomba du´aa

Swali: Je, imewekwa Sunnah kwa wasikilizaji wakati Khatwiyb anapoomba Du´aa kuashiria kwa kidole cha shahaadah?

Jibu: Ndio, hakuna neno. Wakati wa kuomba Du´aa hakuna neno.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Zaad-il-Ma´aad (04) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/mo–1430-5-29.mp3
  • Imechapishwa: 10/11/2014