Swali: Je, jina la Khaalid au Swaalih ndani yake kuna kujisifu?
Jibu: Hapana, hakuna kujisifu. Swaalih ni jina la Nabii na Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) ametuamrisha kujiita kwa majina ya Manabii.
- Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh Zaad-il-Ma´aad (28) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/mo--1431-5-25.mp3
- Imechapishwa: 15/11/2014