al-Fawzaan kuhusu jina la Iymaan kama ni kujisifu

Swali: Jina ambalo ndani yake kuna kujisifu mtu ajiepushe nalo; kama mfano wa Iymaan na mengineyo?

Jibu: Jina Iymaan halina neno. Hakuna makatazo yoyote juu yake.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Zaad-il-Ma´aad (28) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/mo–1431-5-25.mp3
  • Imechapishwa: 15/11/2014