al-Fawzaan Kuhusu Jina Daakhil Na Dakhiyl

Swali: Niliruzukiwa mtoto wa kiume ambaye nikawa nimempa jina la baba yangu, Daakhil. Baadhi ya ndugu wakaonelea jina hili libadilishwe. Unasemaje juu ya hilo?

Jibu: Hakuna makatazo mpaka kusemwe inatakiwa libadilishwe. Hakuna makatazo katika jina Daakhil na Dakhiyl.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Fath-il-Majiyd (23) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tahid-25-07-1435-01.mp3
  • Imechapishwa: 11/02/2017