Swali: Ni ipi hukumu ya kuoga siku ya Ijumaa?
Jibu: Ni Sunnah iliyokokotezwa. Kuoga siku ya Ijumaa ni Sunnah iliyokokotezwa.
- Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh Zaad-il-Ma´aad (23) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/mo--1431-04-12.mp3
- Imechapishwa: 14/11/2014