al-Fawzaan kuhusu biashara ya kwenye intaneti

Swali: Ni ipi hukumu ya kuuza na kununua kwa njia ya Intaneti?

Jibu: Kuuza na kununua inakuwa mkono kwa mkono katika kikao kimoja. Ama ikiwa ni mbali mbali, bi maana huyu yuko huku na yule kule, hili linahitajiwa kuangaliwa kwa kuwa ni jambo jipya kwa watu na mimi silijui

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Zaad-il-Ma´aad (68) http://www.alfawzan.af.org.sa/node/13864
  • Imechapishwa: 16/11/2014