al-Faatihah wakati wa kufunga ndoa


Swali: Ni ipi hukumu ya kusoma Suurah “al-Faatihah” wakati wa kufunga ndoa?

Jibu: Ni jambo halina msingi. Ni jambo halina msingi.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Ighaathat-il-Lahfaan (59) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/Ighastah-29-01-1438_0.mp3
  • Imechapishwa: 10/11/2017