Swali: Pindi imamu aliposwali Maghrib alisoma al-Faatihah kimyakimya. Katikati ya kisomo anakumbuka na akaanza kusoma kwa sauti. Aanze al-Faatihah upya…

Jibu: Hapana, hapana. Asome kwa sauti kuanzia pale alipokumbuka. Asikariri al-Faatihah. al-Faatihah ni nguzo na nguzo haikaririwi.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (69) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/12-07-1438i.mp3
  • Imechapishwa: 20/08/2017