Swali: Hivi sasa kuna bwana mmoja anayejinasibisha na elimu kwenye TV amejitokeza na anatukana kitabu ”ad-Durar as-Saniyyah” na amesema kwamba ndio msingi wa Khawaarij?

Jibu: Haidhuru kitu. Haidhuru kitu, anatambulika kwa upotevu wake.

Swali: Anaitwa Haatim ash-Shariyf.

Jibu: Najua.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://www.youtube.com/watch?v=w5huRpC75gc&feature=youtu.be