al-Albaaniy kuhusu kuandika kwa penseli ndani ya msahafu

Swali: Ni ipi hukumu ya kuandika kwa kalamu ya penseli kwenye msahafu kwa ajili ya kujifunza kusoma Qur-aan tukufu?

Jibu: Mimi sioni kikwazo cha kufanya hivo. Lakini bora zaidi iwe pambizoni mwa msahafu.

  • Mhusika: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sa-altu Abiy, uk. 57
  • Imechapishwa: 01/07/2022