Swali: Je, inafaa kutafuta ponyo kwa Qur-aan kwa njia ya kwamba mgonjwa akasoma sehemu kidogo kisha akatema ndani ya maji na akayanywa au akaosha kwayo ile sehemu ya maumivu au watu wengine wakamsomea na wakatema ndani ya maji kisha wakampa ayanywe? Haya yametajwa na ´Allaamah Ibn-ul-Qayyim katika “at-Twabbi an-Nabawiy”[1] na amenukuu mfano wa maneno hayo kutoka kwa Shaykh wake (Rahimahumaa Allaah)[2].

Jibu: Haya hayakupokelewa.

[1] Ndani ya Zaad-ul-Ma´aad (03/164).

[2] at-Twabbi an-Nabawiy ndani ya Zaad-ul-Ma´aad (03/328).

  • Mhusika: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sa-altu Abiy, uk. 37
  • Imechapishwa: 01/07/2022