Aina za wajinga


Hizi ndio aina za wajinga:

1- Kuna mjinga ambaye anataka haki na anaitafuta. Lakini hata hivyo hakuisibu. Huyu mwenye kupewa udhuru.

2- Kuna mjinga ambaye hataki haki, hakuitafuta na endapo ataitafuta ataipata. Huyu sio mwenye kupewa udhuru.

3- Kuna mjinga asiyetambua haki lakini hata hivyo hakuitafuta na endapo ataitafuta ataipata. Huyu sio mwenye kupewa udhuru.

  • Mhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajihiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: http://www.alharamain.gov.sa//index.cfm?do=cms.AudioDetails&audioid=67832&audiotype=lectures&browseby=speaker§
  • Imechapishwa: 26/08/2017