Subira imegawanyika sehemu tatu:

1- Kuwa na subira katika kumtii Allaah.

2- Kuwa na subira katika [kujizuia na] maasi.

3- Kuwa na subira juu ya makadirio ya Allaah kukufika.

  • Mhusika: Shaykh Swaalih bin ´Abdil-´Aziyz Aalush-Shaykh
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh al-Arba´iyn an-Nawawiyyah, uk. 334
  • Imechapishwa: 14/05/2020