Swali: Ni lini mlinganizi anatoka katika Ahl-us-Sunnah wal-Jamaa´ah?

Jibu: Akiwa analingania katika upotevu, shirki, Bid´ah, shari na fitina anatoka katika Ahl-us-Sunnah wal-Jamaa´ah. Anafika anakuwa katika walinganizi wapotevu. Kwa sababu walinganizi wako aina mbili:

1- Walinganizi wa haki.

2- Walinganizi wa upotevu.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Duruus-ul-Haramhttp://www.alfawzan.af.org.sa/node/13974
  • Imechapishwa: 15/04/2018