Aina mbili za makafiri     

Kuna kufuru mbili:

1- Kufuru ya kuritadi: Inapelekea katika hukumu kadhaa ikiwa ni pamoja na kuchukuliwa mali yake na kuuawa.

2- Kufuru ya unafiki: Tunajua kuwa ni kafiri na anahukumiwa kuwa ni kafiri. Lakini hata hivyo haipelekei katika hukumu za kufuru kwa sababu ameingia katika wanafiki. Hili ni jambo lenye kujulikana katika ufafanuzi wake katika maneno ya wanachuoni.

  • Mhusika: Shaykh Swaalih bin ´Abdil-´Aziyz Aalush-Shaykh
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh al-Arba´iyn an-Nawawiyyah, uk. 177
  • Imechapishwa: 17/05/2020