Hakuna maoni dhaifu kwa Ahl-us-Sunnah isipokuwa pia ipo kwa Shiy´ah na bali dhaifu zaidi.

Shiy´ah hawana maoni yenye nguvu isipokuwa pia ipo kwa Ahl-us-Sunnah na bali yenye nguvu zaidi.

Ni jambo lisiloweza kufikiriwa kwamba Shiy´ah watakuwa na maoni yenye nguvu ambayo hayajasemwa na yeyote katika Ahl-us-Sunnah. Hivyo inapata kuthibiti kwamba Ahl-us-Sunnah ni kheri kuliko wao katika kila kitu kama ambavyo waislamu ni bora kuliko mayahudi na manaswara katika kila kheri.

  • Mhusika: Shaykh-ul-Islam Ahmad bin Taymiyyah
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Minhaaj-us-Sunnah an-Nabawiyyah (1/465-466)
  • Imechapishwa: 14/12/2018


Takwimu
  • 312
  • 373
  • 1,819,080