Aendelee kulipa asije kufikiwa na kifo

Swali: Afanye nini mwanamke ambaye ana madeni ya miaka mingi ambapo anakula siku chache, kisha anafikiwa na Ramadhaan nyingine na hali kila wakati inakuwa hivo?

Jibu: Anatakiwa kuendelea kulipa na aharakishe kulipa kwa kuchelea kisimfikie kifo.

  • Mhusika: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: As´ilah Ramadhwaaniyyah (03) https://www.youtube.com/watch?v=wERRzlOwCLg
  • Imechapishwa: 15/05/2020