Adhkaar za baada ya faradhi kuzileta baada ya Rawaatib na Nawaafil

Swali: Adhkaar za baada ya swalah zinasemwa baada ya Rawaatib na Nawaafil au hazisemwi isipokuwa baada ya swalah za faradhi tu?

Jibu: Zinasemwa baada ya [Swalah za] faradhi. Baada ya Rawaatib hakukuthibiti Adhkaar. Adhkaar zimethibiti baada ya faradhi.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Zaad-il-Ma´aad (06) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/mo–1430-8-5.mp3
  • Imechapishwa: 10/11/2014