Swali: Je, inafaa kusimamisha adhabu za Kishari´ah katika miezi mitukufu?

Jibu: Ndio. Kunasimamishwa adhabu. Kupigana jihaad katika njia ya Allaah pia ni jambo limewekwa katika Shari´ah na uharamu umefutwa.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/21555/هل-يجوز-اقامة-الحدود-في-الاشهر-الحرم
  • Imechapishwa: 25/08/2022