Swali: Nifanye nini nikiwa narudilia ayasemayo muadhini kisha sauti za waadhini zikachanganyika?

Jibu: Mfuatilie muadhini ambaye umeanza naye. Ikiwa sauti yake imekatika na humsikii tena, mfuate muadhini aliye karibu na wewe unayemsikia.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Zaad-il-Ma´aad (31) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/mo–1431-10-10.mp3
  • Imechapishwa: 15/11/2014