Swali: Inajuzu kwa muadhini aliye na janaba kuingia msikitini na kuadhini?

Jibu: Ndio, anaweza kuingia msikitini. Kwa kuwa hakutokaa. Kilichokatazwa ni kukaa msikitini. Ama kuingia kwa sababu ya haja na kutoka ni sawa. Kutoa adhaana hakuna kukaa.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (8) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/umdt–14340429.mp3
  • Imechapishwa: 15/01/2017