Swali: Adhaana ya mtoto wa kiume aliye na miaka sita au saba ni sahihi?

Jibu: Ndio, ikiwa yuko na uwezo wa kupambanua mambo. Ikiwa yuko na uwezo wa kupambanua na swalah yake ni sahihi, hivyo adhaana yake pia ni sahihi.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (8) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/umdt–14340429.mp3
  • Imechapishwa: 14/01/2017