Adhaana ya alfajiri wakati mtu yuko anaswali Witr

Swali: Kuna mtu alikuwa anaswali Witr na katikati ya swalah yake muadhini akaadhini kwa ajili ya swalah ya alfajiri. Je, akamilishe swalah yake?

Jibu: Ndio. Kukiadhiniwa na yeye yuko katikati ya Witr yake atimize swalah yake na hakuna neno.

  • Mhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Majmuu´-ul-Fataawaa (14/115)
  • Imechapishwa: 17/06/2017