Swali: Baadhi ya wanaowasomea watu Ruqyah wanatumia adhaana wakati wa kuwasomea. Je, kitendo hichi kimethibiti kutoka kwa Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam)?

Jibu: Kitendo hichi hakina asli. Watu hawa wanaingiza mambo walionayo ya ukhurafi na ujinga katika jambo hili.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Qaa´idah Jaliylah fiyt-Tawassul wal-Wasiylah (15) http://alfawzan.af.org.sa/node/2108
  • Imechapishwa: 05/07/2020