Adhaana makaburini


Swali: Ni ipi hukumu ya kutoa adhaana makaburini ili kuwaondoshea adhabu walio ndani ya makaburi?

Jibu: Haijuzu kufanya hivi. Hizo ni katika Bid´ah zilizozuliwa. Kama unataka kumnufaisha maiti muislamu muombee du´aa na sio kutoa adhaana.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (103) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/Ighastah-6-3-1441_1.mp3
  • Imechapishwa: 22/01/2021