Swali: Kuna makala imetoka ambayo inasema:

“Mimi nazungumzia muziki hivi sasa kwa ujumla. Endapo Allaah angelitaka kuharamisha muziki, basi angelizungumzia hilo katika Qur-aan waziwazi kama alivyofanya hivo kuhusu Aayah za ribaa na uzinzi.”[1]

Jibu: Haya ni maneno ya mjinga. Achana naye. Muziki ni haramu kwa mujibu wa Qur-aan, Sunnah na maafikiano, kama alivyosema Shaykh-ul-Islaam. Shaykh-ul-Islaam amesema ala zote za muziki ni haramu kwa maafikiano.

[1] Swaalih al-Mughaamisiy amesema:

“Mimi nazungumzia muziki hivi sasa kwa ujumla. Endapo Allaah angelitaka kuharamisha muziki, basi angelizungumzia hilo katika Qur-aan waziwazi. Angelisema watu wasikaribie ala za muziki, lakini hakufanya hivo.” https://www.youtube.com/watch?v=2iKzENpqXU4&feature=youtu.be

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://www.youtube.com/watch?v=2iKzENpqXU4&feature=youtu.be
  • Imechapishwa: 17/09/2017