Abul-Hasan al-Ash´ariy alijirudi na kuchukua madhehebu ya Imaam Ahmad bin Hanbal

Swali: Je, Imaam Abul-Hasan al-Ash´ariy (Rahimahu Allaah) ndiye mwanzilishi wa madhehebu ya Ashaa´irah?

Jibu: Hapana. Madhehebu yao ni madhehebu ya Kullaabiyyah. Sio madhehebu ya Abul-Hasan. Abul-Hasan alijirudi juu ya haya na badala yake akachukua madhehebu ya Imaam Ahmad tofauti na wao wakabaki katika madhehebu ya Kullaabiyyah.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: http://alfawzan.af.org.sa/ar/node/17398
  • Imechapishwa: 07/12/2017